Tuesday, April 14, 2015

ZITTO APEWA UCHIEF WA WAGOGO LEO,AITWA MAZENGO.PICHA ZOTE ZIKO HAPA

Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe akizungumza na wakazi wa Kijiji cha Chidilo Kata ya Chipanga Wilayani Bahi jana, ambapo wakazi hao walimsimika kuwa Chifu wa Kabila la Wagogo na kupewa jina la Mazengo.

Wakazi Mji wa Dodoma wakishangilia viongozi wa chama cha ACT -Wazalendo wakati wakiwasili kwenye viwanja vya Mashujaa mjini hapa jana.



Mwenyekiti wa Chama Cha ACT -Wazalendo Anna Mghwira (katikati), akiwasili kwenye viwanja vya Mashujaa mjini hapa jana huku wapenzi wa chama hicho wakimshangilia.

Msanii Afande Sele ambae ni mwanachama wa ACT-Wazalendo akiwa amebebwa juu na wakazi wa Dodoma alipowasili kwenye Viwanja vya Mashujaa jana.




No comments: