Friday, July 17, 2015

HII AJALI IMETOKEA KILIMANJARO LEO



Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro Godfrey Kamwela, ameithibitishia  kutokea kwa tukio hilo.

"Ni kweli kuna taarifa ya ajali lakini maofisa wetu waliokwenda kwenye eneo la tukio hapo Kikavu hawajatuletea taarifa kamili hadi sasa, naomba baada ya muda muwasiliane na sisi tena ili tuwapatie taarifa kamili" alieleza Kamanda Kamwela.

Taarifa za awali zinaeleza kuwa ajali hiyo iliyotokea katika eneo la Kikavu, Hai mkoani humo imeua watu watano..

CREDIT SBM WEBSITES

No comments: