Tuesday, July 21, 2015

JANET MBANE APATA MAPOKEZI MAKUBWA JIMBONI KWAKE

Naibu waziri wa Viwanda na biashara na mgombea ubunge wa jimbo laileje mkoani Songwe, Janet Mbene akisalimiana na vijana waliotokeakumlaki katika kata ya isoko walayani hapo. Picha na Humphrey Shao


Naibu waziri waviawnada na biashara na mgombea ubunge katika jimbo ileje mkoa wa Songwe,Janet Mbene akitembea huku mamamia ya watu wkimfuta nyuma mara baada ya kumalizikakwamkutano wake na
wajumbe wa halmashauri wa kata ya isoko kuomba wamachague katika uchaguzi wa kura za maoni za CCM. Picha na Humphrey Shao.

 Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Janet Mbene akipokea zawadi ya ungo kutoka kwa mwakilishi wa wasuka ungo wa bundali. Picha na Humphrey Shao.


No comments: