Friday, July 10, 2015

KAMPUNI YA TIGO YAFUTURISHA JIJINI DAR ES SALAAM

Meneja wa Rasilimali Watu wa Tigo Catherine Olaka akitoa zawadi kwa watoto wa kituo cha yatima cha Al-Madrasat Nurhuda cha Temeke mara baada ya kupata futari iliyoandaliwa na kampuni ya Tigo makao makuu Jijini Dar Es Salaam

Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Tigo wakiwa kwenye picha ya pamoja na watoto wa kituo cha yatima cha Al-Madrasat Nurhuda cha Temeke

Meneja mkuu wa Rasilimali Watu wa Tigo Tanzania, Catherine Olaka akitoa zawadi kwa watoto wa kituo cha yatima cha Al-Madrasat Nurhuda cha Temeke mara baada ya kupata futari iliyoandaliwa na kampuni ya Tigo makao makuu Jijini Dar Es Salaam

Katibu wa kituo cha watoto yatima cha Al-Madrasat Nurhud, Ustadhi Ukese Said akihojiwa na waandishi wa kituo cha Itv mara baada ya futari

Meneja mkuu msaidizi wa Rasilimali waTigo , Doris Luvanda akihojiwa na waandishi wa kituo cha Itv mara baada ya futari.

Baadhi ya wafanyakzi waTigo na watoto wa kituo cha yatima cha Al-Madrasat Nurhuda cha Temeke wakipata futari iliyoandaliwa na kampuni ya Tigo makao makuu.

No comments: