Wednesday, July 22, 2015

KAZI IMEANZA HUKO CHADEMA,TIZAMA HII YA LEO MWANZA

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Dk. Willibroad Slaa akiwa kwenye gari katika msafara wa mapokezi kwa ajili ya mkutano wa hadhara wa kuwatambulisha Mbunge wa Kahama, James Lembeli na Mbunge wa Viti Maalumu, Ester Bulaya waliohamia Chadema wakitokea CCM jana jijini Mwanza.




Mbunge wa Jimbo la Kahama, mkoani Shinyanga, James Lembeli (kushoto) na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Taifa, John Mnyika, wakiwapungia wananchi mikono walipokuwa kwenye msafara wa mapokezi ya Viongozi Wakuu wa Chama hicho wakiwasili jijini Mwanza kwa ajili ya mkutano mkubwa wa hadhara.

Mbunge wa Ilemela kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Ezekiel Wenje akizngumza na wanachama na wakazi wa mwanza waliojitokeza katika mkutano huo kushughudia mh LEMBELI na ESTER BULAYA wakikabidhiwa kadi za CHADEMA leo 
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Dk. Willibroad Slaa akizngumza katika mklutano huo uliohudhuriwa na maelfu ya wanachama na watanzania wa mwanza kushughudia tukio hilo la kihistoria leo

Mbunge TUNDU LISSU akizngumza na maelfu ya wanamwanza waliojitokeza

Mwanacchama mpya kutoka ccm na sasa ameamua kuzama CHADEMA dada ESTER BULAYA akizngumza na wanachama wa CHADEMA mara maaba ya kukabidhi kadi yake ya CCM na kukabidhiwa kadi ya cha chake kipya CHADEMA  leo jijini mwanza








Hii  ndio  hali  ya  mkutano  wa chadema  huko  MWANZA

No comments: