Wednesday, July 22, 2015

MAGUFULI AZIDI KUCHANJA MBUGA,TIZAMA HII

Baadhi ya Wananchi wa mji wa Kahama mkoani Shinyanga na vitongoji vyake
wakiwa wamefunga barabara wakitaka kumsalimia kwa  furaha kubwa Mgombea
Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa
akipita njiani kujitambulisha kwa kwa wananchi hao akielekea mkoani
Dodoma na baadae kurejea jijini Dar.
Mgombea
Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwashukuru
na kujitambulisha kwa Wananchi ndani ya mji wa Ushirombo,wilayani
Bukombe,mkoa wa Geita mapema leo mchna alipokuwa akipita njiani
kujitambulisha kwa wananchi alipokuwa akielekea mkoani Dodoma na baadae
kurejea jijini Dar.
 Mgombea
Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli akisaini
vitabu vya ofisi ya CCM juu ya gari ndani ya mji wa Ushirombo,wilayani
Bukombe,mkoa wa Geita alipopita kuwasalimia na kuwashukuru Wananchi wa
mji Bukombe mchana huu alipokuwa akipita njiani kujitambulisha kwa
wananchi alipokuwa akielekea mkoani Dodoma na baadae kurejea jijini Dar.
Mgombea
Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwasalimia
na kuwashukuru Wananchi wa mji wa Masumbwe wilayani Mbogwe mkoa wa Geita
mchana huu alipokuwa akipita njiani kuwashukuru na kujitambulisha kwa
wananchi alipokuwa akielekea mkoani Dodoma na baadae kurejea jijini Dar.
Baadhi ya Wananchi wa mji wa Kahama mkoani Shinyanga na vitongoji vyake
wakimsikiliza Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe
Magufuli  mara baada ya msafara wake kusimamishwa na wananchi hao
alipokuwa akipita njiani kujitambulisha kwa wananchi  alipokuwa
akielekea mkoani Dodoma na baadae kurejea jijini Dar.

Mgombea
Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwasalimia
na kuwashukuru Wananchi wa mji wa Kahama mchana huu alipokuwa akipita
njiani kujitambulisha kwa wananchi alipokuwa akielekea mkoani Dodoma na
baadae kurejea jijini Dar.
PICHA NA MICHUZI JR-CHATO-DODOMA

No comments: