Friday, July 3, 2015

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWEKA JIWE LA MSINGI KATIKA JENGO JIPYA LA OFISI YA TTCL, PEMBA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Jengo jipya la Ofisi ya TTCL, Wilayani Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba, leo Julai 3, 2015. Picha na OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipata maelezo kuhusu ramani ya Jengo hilo la TTCL, kutoka kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Ujenzi ya 'Quality Buildin Contractors Ltd', Khamis Ally Shaibu,  wakati wa hafla fupi ya uwekaji wa Jiwe la Msingi katika Jengo jipya la Ofisi ya TTCL,  iliyofanyika leo Julai 3, 2015 Wilayani Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba. Kulia kwa Makamu ni Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame Mbarawa. Picha na OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Viongozi na Wafanyakazi wa TTCL, baada ya hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Jengo jipya la Ofisi ya Shirika la Simu Tanzania TTCL, iliyofanyika leo Julai 3, 2015 Wilayani Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba. Picha na OMR


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Simu Tanzania, TTCL, wakati alipowasili kwa ajili ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Jengo jipya  la Ofisi za Shirika hilo Wilayani Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba leo Julai 3, 2015. Picha na OMR

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mkurugenzi  Shirika la Simu Tanzania TTCL, Dkt. Kamugisha Kazaura, wakati alipowasili Wilayani Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba leo  Julai 3, 2015 kwa ajili ya Kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Jengo jipya la Ofisi za shirika hilo. Katikati ni Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame Mbarawa. Picha na OMR


Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame Mbarawa,akizungumza.


Mkurugenzi  Shirika la Simu Tanzania TTCL, Dkt. Kamugisha Kazaura, akizungumza.
Meza Kuu.

 Baadhi ya wawakilishi wa makampuni na Mashirika waliohudhuria hafla hiyo.



 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame Mbarawa, kwa pamoja wakifunua kitambaa kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la ujenzi wa Jengo jipya la Ofisi ya TTCL, wakati wa hafla fupi iliyofanyika leo Julai 3,2015 Wilayani Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba. Picha na OMR


No comments: