Friday, July 24, 2015

MSANII MUZMAMOYO KUREJEA KWAO ITALIA KUMUUGUZA MZAZI WAKE

Mwanamuziki nguli wa muziki wa kitanzania ambaye ni raia italia CHRISTIAN REVBAER  maarufu kama mzimamoyo amesema kuwa atarejea nchini kwao siku ya jumatatu kwa ajili ya kumuuguza mama yake ambaye anasumbuliwa na kansa ya tumbo ambayo itamlazimu kufanyiwa operation mapema wiki ijayo.


Akizngumza na mtandao huu wakati akiwaaga watanzania kwa muda amesema kuwa anawashukuru watanzania pamoja na mtandao huu kwa kendelea kufwatilia muziki wake na kuutangaza nchi nzima jambo ambalo amesema kuwa limemfariji sana na kuhisi Tanzania ni nchi nzuri na yenye watu wenye upendo wa kipekee.

No comments: