Friday, July 10, 2015

MUZMAMOYO SASA KUJA NA ALBAM YAKE


Mwanamuziki wa muzik wa kitanzania Raia wa Italia CHRISTIAN REVS BAR maarufu kama MUZMAMOYO amesema kuwa ana mpango wa kukamilisha albam yake inayokwenda kwa jina NEW VESSION alibam ambayo inataraji kikamilika mapema mwezi huu.
Akipiga story na mwandishi wa mtandao huu amesema kuwa albam hiyo imejikita kuelimisha jamii ikiwemo watanzania kutakiwa kuwa wazalendo na nchi yao katika kufanya amani ya nchi hii kuendelea kuwa nzuri kama ilivyo sasa.
Aidha amewataka wasanii wa kitanzania kuimba muzik inayoelimisha jamii haswa kipindi hiki cha uchaguzi na sio kujikita katika music wenye maudhui ya mapenzi pekee

No comments: