Saturday, July 11, 2015

SOMA KAULI YA MAKAMBA BAADA YA KUENGULIWA MBIO ZA URAIS


  • Nawashukuru wote mliotuunga mkono. Mlitupa nguvu. Nawashukuru pia mliotupinga na kutukosoa. Mlitusaidia kujitazama na kujirekebisha.
  • Hatujapoteza uchaguzi kwasababu mimi na vijana niliokuwa   tumejifunza mengi na tumejenga undugu. Tumepambana na matakwa ya Mungu yametimia.

No comments: