Sunday, July 19, 2015

TIGO YATOA ZAWADI YA SIKUKUU YA EID KWA WAKAZI WA MBAGALA YAFANYA TAMASHA KUBWA


 Msanii mpya kwenye Game mwanadada Rapa Chemical, akipiga bonge ya shoo iliyowasisimua mashabiki walikuja kuona tamasha la Tigo viwanja vya zakhem Mbagala

.Sehemu ya umati mkubwa uliojaa kwenye tamasha la Tigo la sikukuu ya Eid kwenye viwanja vya Zakhem Mbagala.

Msanii  wa bongo fleva Amini, akitoa burudani kwenye Tamasha la Tigo la sikukuu ya Eid lililofanyika viwanja vya Zakhem Mbagala jana.

Wasanii wa kikundi cha sarakasi cha Wachina Weusi wakitoa burudani kwenye Tamasha la Tigo la sikukuu ya Eid lililofanyika viwanja vya Zakhem Mbagala jana
Msanii wa bongo fleva Belle 9, akitoa burudani kwenye Tamasha la Tigo la sikukuu ya Eid lililofanyika viwanja vya Zakhem Mbagala jana

No comments: