Wednesday, July 15, 2015

TIZAMA HII YA MAPOKEZI YA MBUNGE WA CHADEMA MBOZI MAGHARIBI MH DAVID SILINDE


Mbunge wa Mbozi Magharibi Mheshimiwa David Silinde akiwahutubia wakazi wa Tunduma waliompokea.
Msafara wa Magari, Bajaji na Bodaboda uliompokea Mheshimiwa David Silinde
Wakazi wa Tunduma wakimsikiliza Mheshimiwa David Silinde baada ya kupata mapokezi makubwa.

No comments: