.

PICHA 27-Taswira mpya ya Mji wa Moshi Wakati huu wa siasa,Mji umechangamka sana

Mtu wangu nimefanikiwa kupita katika Jiji La Moshi kipindi hiki cha siasa kumekuwa na harakati nyingi za siasa ambazo zimefanya mji huu uchangamke zaidi ya ulivyokuwa kabla ya hapo,hapa nimekuwekea Taswira mbalimbali ya picha jinsi maswala ya siasa yalivyouteka mji wa moshi kwa sasa,ukiingia tu Mji huu kwa sasa lazima ukutane na mabango,Bendera,pamoja na viajana wa vyama mbalimbali wakiwa na hamasa ya uchaguzi tofauti na miaka ya awali,unaweza kufaidi Picha za matukio yote hapa mdau

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.