.

SHUGHUDIA KAMPENI ZA JANET MBENE MALANGALI

Mgombea ubunge wa chama cha Mapinduzi katika Wilaya ya Ileje mkoa wa Songwe Janet Mbene akihutubia mamaia ya wakazi wa kata ya Malangali wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya malangali
. Mgombea ubunge wa chama cha Mapinduzi katika Wilaya ya Ileje mkoa wa Songwe Janet Mbene akimnadi mgombea udiwani wa kata ya Malangali Sayinga Kayuni wakati wa mkutano wa hadhara wa kunadi sera za chama cha Mapinduzi
kikundi cha ngoma za asili kutoka kata ya malangali kikitoa burudani kwa wanacahma wa Chama cha Mapinduzi CCM waliofika kusikiliza sera za mgombea wa Chama hicho wilaya ya Ileje Janet Mbene
Katibu wa CCM Wilaya ya Ileje mkoa songwe Hamida Mbogo akiwa jukwaani akinadi sera za chama cha mapinduzi juu ya mafiga matatu katika kata ya Malangali wakati wa mkutano wa kampeni wa mgombea ubunge wa chama hicho Janet Mbene

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.