Wednesday, October 21, 2015

Huyo ndiye LOWASA Bhanaa--Tizama Hii ya Tanga leo

Mgombea urais wa Chadema anayeungwa mkono na Vyama vya Ukawa, Edward Lowassa, akipunga mkono wakati akiwasili kwenye Viwanja vya Indian Ocean katika mkutano wa kampeni mjini Tanga leo Jumatano 21/10/2015


Baada ya mkutano wa kwanza kuhairishwa kutokana na uwanja wa Tangamano kuzudiwa na wingi wa watu nakupelekea watu zaidi ya 100 kuzimia kwa kukosa hewa. Leo Jumatano 21/10/2015,uwanja wa Indian Ocean ndiyo ulioweza kuwakusanya pamoja wananchi wa Tanga,ingawa wawalikuwa maelfu kwa maelfu
Mhe. Edward Ngoyai Lowassa akiongea na wananchi wa Tanga katika uwanja wa Indian Ocean leo Jumatano 21/10/2015 




 












No comments: