Picha 40--Lowasa Aongoza mamia ya watanzania Kumuaga MAKAIDI Dar es salaam

Makamu mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Bwana PHILIP MANGULA akisalimiana na viongozi mbalimbali wa upinzani mchana wa leo wakati wa kuaga mwili wa aliyekuwa mwenyekiti mwenza wa umoja wa katiba ya wananchi UKAWA EMMANUEL MAKAIDI katika viwanja vya karimjee jijini Dar es salaam.
Wafiwa mbalimbali wakiaga mwili wa MAKAID kwa ajili ya maziko yatakayofanyika makaburi ya sinza Jijini Dar es salaam

Mgombea Urais wa Tanzania Kwa tiketi ya CHADEMA Edward Lowasa Akiwa na waziri mkuu wa zamani wa Tanzania Fredrick Sumaye katika shughuli hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es salaam mchana wa leo.KWA PICHA ZOTE ENDELEA CHINI-------------About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.