Thursday, November 19, 2015

MALINZI AMPONGEZA WAZIRI MKUU MAJALIWA

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Jamal Malinzi amemtumia salamu za pongezi, Mh. Majaliwa Kassim Majaliwa kwa kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu wa awamu ya tano wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Post a Comment