Thursday, November 12, 2015

MWENYEKITI WA CCM DKT JAKAYA KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU CCM JIJINI DAR ES SALAAM

unnamedMwenyekiti wa CCM Dkt Jakaya Mrisho Kikwete aongoza kikao cha Kamati kuu ya CCM jijini Dar es salaam ambacho kimehudhuriwa kwa mara ya kwanza na Rais wa Awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli.
PICHA NA ISSA MICHUZI WA IKULU
Post a Comment