.

Tigo yadhamini tamasha kubwa la muziki mikoa ya kusini

Mkurugenzi wa Kampuni ya Tigo wa Nyanda za Juu Kusini, Jackson Kiswaga (katikati walioketi) akielezea sababu za kampuni hiyo kudhamini tamasha la muziki (Mtikisiko) kwa mikoa ya Nyanda za Juu Kusini, Tamasha hilo litakalofanyika Songea, Njombe, Iringa na Mbeya kuanzia

kesho tamasha hilo limeandaliwa na Redio Ebony FM ya mjini Iringa na kudhaminiwa na Kampuni ya Tigo. 

Sehemu ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mkurugenzi wa Kampuni ya Tigo wa Nyanda za Juu Kusini, Jackson Kiswaga .

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.