Tuesday, December 15, 2015

MAJALIWA AITISHA KIKAO CHA KAZI CHA BARAZA LA MAWAZIRI

mwk1
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama wakati alipomkaribisha kuzungumza katika kikao cha kwanza cha baraza la kazi la Mwaziri, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Desemba 15,2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
mwk2
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na  Mawaziri na Naibu Mawaziri  katika kikao cha kwanza cha kazi cha Baraza la Mawaziri alichokiitisha  Ofisini kwake jijini Dar es salaam Desemba 15, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
mwk3
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama wakati alipomkaribisha kuzungumza katika kikao cha kwanza cha baraza la kazi la Mwaziri, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Desemba 15,2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
mwk4

No comments: