Sunday, December 13, 2015

Taarifa 1 Mbaya & Taarifa 1 Nzuri Kwa CHADEMA

1. Taarifa Nilizozipata muda huu kutoka jijini Arusha Ni kuwa Diwani wa sombetini Mh Ally Bananga almaarufu kama Binamu amepata ajali mbaya ya gari lakini Mungu Mkubwa ndugu yetu katoka mzima kabisa kama unavyomuona kwenye (pichani)



JUMLA YA VITUO VYOTE NI 700;
Vituo 385 tayari.
Cdm inaongoza 382
Ccm inaongoza 3

No comments: