Thursday, December 17, 2015

Tigo yadhamini uzinduzi wa Rocky City Mall: Kufanya gulio la kuuza bidhaa mbalimbali Mwanza

Meneja huduma kwa Wateja wa Tigo kanda ya Ziwa 
Beatrice Kinabo,akifafanua jambo kwa waandishi wa 
habari jijini Mwanza jana,ambapo jengo la kimataifa 
la biashara(Rock City Mall) limekamilika na Tigo 
watafanya gulio la kuuza bidhaa mbalimbali,kushoto 
ni Katibu wa Bodi ya wakurugenzi wa Mwanza City 
Commercial Complex Company Limited Joseph Mlinzi na 
kulia ni Meneja wa Tigo pesa kanda ya Ziwa Issa 
Orry.

Katibu wa Bodi ya wakurugenzi wa Mwanza City 
Commercial Complex Company Limited Joseph 
Mlinzi,akizungumza na waandishi wa habari jijini 
Mwanza jana,kuhusu kukamilika kwa jengo la kimataifa 
la biashara(Rock City Mall), ambalo wananchi 
wanaruhusiwa kuingia na kununua bidhaa kuanzia 
jumamosi wiki hii,kulia ni Meneja huduma kwa Wateja 
wa Tigo kanda ya Ziwa Beatrice Kinabo,ambapo Tigo 
wataendesha gulio la kuuza bidhaa zao.
Meneja wa Tigo pesa kanda ya Ziwa Issa 
Orry,akizungumza na waandishi wa habari jijini 
Mwanza jana,ndani ya jengo la kimataifa la biashara
(Rock City Mall)ambapo limekamilika na Tigo 
watafanya gulio la kuuza bidhaa mbalimbali,kushoto 
ni Meneja huduma kwa Wateja wa Tigo kanda ya Ziwa 
Beatrice Kinabo



No comments: