MATUKIO BUNGENI MJINI DODOMA

Q1
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Iramba Mashariki, Allan Kiula kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Januai 23, 2016.
Q2
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum,Azza Hillal  Hamad kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Januai 23, 2016.
Q3
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum,Cecilia Daniel Paresso kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Januai 23, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.