Monday, January 18, 2016

Nimekuwekea Video Na picha Vurugu za mkwajuni leo kuhusu Bomoa Bomoa

Hali  haikuwa shwari katika eneo la Bonde la Mkwajuni Kinondoni jijini Dar es salaam, ambapo imeelezwa kuwa  baadhi ya Wananchi wamechoma mataili pande zote za barabara na hakuna gari kupita. Tukio hilo lilitokea mchana wa leo ambapo jeshi la polisi lilifika eneo la tukio hilo ambalo chanzo chake inadaiwa ni baadhi ya vijana wanaodaiwa kuwa walikuwa wakazi wa eneo lililobomolewa ambao wameingia barabarani na kufanya fujo. Pia gari la zimamoto limefika eneo la tukio ili kuzima moto huo. (Picha zote na Henry Mdimu)


Endelea kutufuatilia kwa habari zaidi.


Mk1.jpg 


Mkw3.jpg

No comments: