Saturday, January 16, 2016

Star Tv,Radio Free,Kiss Fm na Uhuru Fm wafungiwa Rasmi Na TCRA.


iMamlaka ya mawasiliano nchini Tanzania TCRA leo imevifungia vituo 21 vya Radio na 6 vya Television kwa muda wa miezi 3 kikiwemo kituo cha Star TV,Radio free Afrika,Kiss Fm na Uhuru FM.

Taarifa zaidi zitakujia hapa hapa
Post a Comment