Tuesday, January 19, 2016

TINGATINGA LIKISAWAZISHA BONDE LA MKWAJUNI YALIPOKUWA MAKAZI YA WATU CHINI YA ULINZI

 Askari wakiwahoji waendesha pikipiki (wa pili na watatu kulia) waliogongana katika Barabara ya Morocco eneo la Bonde la Mkwajuni, Dar es Salaam. Wote walikimbizwa katika Hospitali ya Mwananyamala  kwa matibabu ambapo mmoja wapo amevunjika mkono katika maungio ya kiganja cha mkono wa kushoto na mguu wakushoto kuwa na maumivu makali (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
 
 Mmoja wa Dereva wa Pikipiki (wakwanza kulia) akikabidhi nyaraka zake kwa Askari na alikuwa akienda kupata matibabu katika Hospitali ya Kairuki na kukimbizwa wote wawili katika Hospitali ya Mwananyamala
Dereva akitoa maelezo kwa Askari waliokua katika Bonde la Mkwajuni 
 

No comments: