Halima mdee Ni waziri kivuli Fedha,ZITTO KABWE atoa neno la matumaini kwake

Mbunge wa jimbo la Kawe HALIMA MDEE ameteuliwa kuwa msemaji wa kambi ya upinzani wizara ya fedha au waziri kivuli wa Fedha nchini Tanzania katika uteuzi uliofanywa na kiongozi wa kambi Ya upinzani Bungeni FREMAN MBOWE,Pamoja na uteuzi huo kutokumjumuisha kiongozi mkuu wa ACT WAZALENDO ZITTO KABWE hapa ameamua kuweka wazi ushirikiano wake kwa waziri kuvuli HALIMA MDEE,unaweza kusoma alichokisema hapo chini

                                             Zitto Z Kabwe
                                      10 hrsTwitter
Hongera sana dada yangu @halimamdee kuteuliwa kuwa Waziri Kivuli Fedha na Mipango. Nitakupa Ushirikiano katika kuisimamia Serikali

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.