Heche & Prof. Muhongo Wafanya Tukio La Kihistoria Leo"Siku ya pili ya ziara jimboni tukiwa na waziri wa nishati na madini prof Muhongo kutatua tatizo sugu la mgodi wa Accacia na wananchi wa Tarime. Ahadi yangu kwa wananchi wa Tarime ni kuendelea kuzipatia ufumbuzi kero sugu na kufanya Kazi kwa bidii na uwazi katika kuwatumikia".-John Heche

 


WAZIRI MUHONGO AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WANAOZUNGUKA MGODI WA NYAMONGO

 MBUNGE HECHE AKICHANGIA JAMBO
 WANANCHI WAKIZUNGUMZA KERO ZAO

 WANANCHI WAKIMSIKILIZA WAZIRI MUHONGO

 WAZIRI MUHONGO AKIMSISITIZIA JAMBO MENEJA WA MGODI WA ACACIA NORTH MARA,GARY CHAPMAN KATIKA KUONDOA CHANGAMOTO ZILIZOPO


 WAZIRI MUHONGO ALIPOTEMBELEA MAENEO YENYE MATATIZO KATI YA MGODI NA WANANCHI
 MBUNGE HECHE AKIMSISITIZIA JAMBO WAZIRI AWEZE KUTATUA


About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.