MANISPAA YA TEMEKE YAJIPANGA KUMSAIDIA RAIS KUKUSANYA KODI

 Katika kutekeleza agizo la rais ,JOHON POMBE MAGUFULI,kuhusiana na ukusanyaj wa kodi kwa usahii,MSTAHIKI  MEYA ,wa manispa ya temeke ABDULAH CHAUREMBO amesisitiza kuboresha mifumo ya mapato ilikuweza kupata  mapato mengi ya ndani katika manispaa hiyo.
Ameongea hayo leo katika baraza la madiwan la manispaa hiyo amewataka wakuu wa idara mbalimbali kutekeleza miradi iliyopo kwa wakati na kuepuka kukaa nayo maofisin,kwan wananchi waleo sio wajana wananchi waleo wanaitaj maendeleo tu    
Akizungumza diwani wa, SOMANGIRA,FRANCIS MASANJA CHICHI amesema katika kata  yake inatatizo kubwa la uhaba wa shule hivyo kufanya watoto wanaofaulu kutembea umbali mlefu kwenda shuleni,ivyoimekuwa ikichangia utoro mashulen,ikiwemo wanafunz kutokufika shuleni kwa wakati ivyo jambo ilo limekuwa  likichangia elimu kushuka katika kata hiyo,aidha ameiomba serikali kuangalia swala zima lakuongeza shule katika kata hiyo   

Aidha mkurugenzi wa manispaa hiyo,PHOTIDAS KAGIMBO,amesema wameweza kutekeleza miradi kwa asilimia kubwa mpaka sasa,ikiwemo shule,hospital,mahabara,pia manispaa imeweza kukusanya mapato ya ndan kwa wingi na ubunifu ivyokupelekea kupata hati safi katika kipindi kilichopita ivyo amewataka madiwan kutoa ushirikiano kwao ilikupeleka gurudumu la maendeleo mbele katika manispaa hiyo.  


About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.