NEW ALERT--BARAZA KIVULI LATAJWA,ZITTO NA KUBENEA WATOSWA RASMI

Kiongozi wa kambi ya upizani Bungeni Mh Freeman Mboye ametangaza baraza kivuli la mawaziri akiwemo Tundu Lisu 

Waziri kivuli wa wizara ya mambo ya ndani ya nchi Godbless Lema 

Waziri kivuli wa habari Utamaduni,Sanaa na Michezo Joseph Mbilinyi na naibu wake ni Mbunge Devotha Minja
Waziri kivuli wa habari Utamaduni,Sanaa na Michezo Joseph Mbilinyi na naibu wake ni Mbunge Devotha Minja.nk.huku akiwatosa wabunge machachari Mh ZITTO KABWE kutoka chama cha ACT -Wazalendo Na mbunge wa ubungo SAED KUBENEA.Hili hapa Baraza la Mawaziri kivuli Kambi ya Upinzani Bungeni!!!!
TAMISEMI ni Jaffary Michael,
Ofisi ya Rais ni Lucy Mollel,
Ofisi ya Rais Mazingira ni Ally Saleh,
Sera Bunge ni Ester Bulaya,
Wizara ya Fedha ni Halima Mdee,
Wizara ya Ujenzi ni Eng. James Mbatia,
Nishati ni John Mnyika,
Mambo ya Nje ni Peter Lusigwa,
Kilimo ni Magdalena Sakaya,
Ulinzi ni Juma Hamad,
Mambo ya ndani ni Godbless Lema,
Ardhi ni Lwakatale,
Maliasili ni Ester Matiko,
Viwanda Antony Komu,
Teknolojia ni Susan Limo,
Afya ni Godwin Mollel,
Habari sanaa na wasnii Joseph Mbilinyi,
Maji ni Hamid Hassan na Katiba ni Tundu Lissu.

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.