Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Dodoma (CPC) Habel Chidawali, akitoa shukrani mara baada ya kukabidhiwa vifaa mbalimbali vifaa vya mawasiliano na michezo vyenye thamani ya shilingi milioni nane na Meneja mawasiliano wa Tigo John Wanyancha ili kufanikisha bonanza la wanahabari la kufunga mwaka 2015 lililopangwa kufanyika baadaye mwezi huu wanaoshuhudia ni makamu mwenyekiti wa CPC Rachel Chibwete (kushoto) na katibu wa CPC bw .Bilison vedastus |
No comments:
Post a Comment