Kamati ya ufuatiliaji wa miradi ya maendeleo mkoa wa Mtwara watembelea shule ya sekondari Mihule

Wanafunzi wa kidato cha kwanza shule ya sekondari Mihule kata ya Ndumbwe wilaya ya Tandahimba mkoa wa Mtwara wakiwa darasani kama walivyokutwa na kamati ya ufuatiliaji wa miradi ya maendeleo mkoa wa Mtwara.Hata hivyo zaidi ya 150mi zimetengwa toka mapato ya ndani kwaajili ya utengenezaji wa madawati.(Picha na Haika Kimaro)


About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.