MBOWE AWASTAJAABISHA WATANZANIA,AMTANGAZA MRITHI WA DR SLAA AMBAYE HAKUWAZIWA NA WENGI

 Tayari Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wamemtangaza Katibu Mkuu wao mpya ambaye atakitumikia chama hicho kikuu na kikubwa cha upinzani nchini, Katibu huyo si mwingine ni Dkt. Vicent Mashinje  ambaye anashika mikoba ya aliyekuwa akishika nafasi hiyo awali kabla ya kuachia ngazi, Dk. Wilbroad Slaa.
Chadema ambao wapo Mkoani Mwanza katika mkutano wao mkuu, usiku huu wameweza kulitangaza jina hilo. Awali wanachama na kada mbalimbali walikuwa na hamu ya kutaka kujua ni nani atashika wadhifa huo mkubwa kabisa ndani ya chama huku kila mmojja kutokuwa na jibu sahihi awali kabla ya Mwenyekiti wa chama hichi usiku huu, Freeman Mbowe, kuweka wazi jina hilo.
Mjue kwa ufupi hapa Katibu Mkuu Mpya wa Chadema: Ni miongoni mwa vijana wenye kuleta mageuzi katika nyanja mbalimbali ni msomi wa kiwango cha juu, kabila lake ni MSUKUMA wa Sengerema.
CV ya Katibu Mkuu Dr. Vincent B. Mashinji.(P.T)
Professional experience
Clinical Advisor & TB/HIV lead
UMSOM-IHV
July 2008 – Present
ART Program Doctor/IMA team lead
IMA Worldhealth
August 2006 – June 2008 (1 year 10 months)
Medical Officer/Anaesthesiology
Regency Medical Centre
October 2005 – August 2006 (10 months)
Medical Officer
Muhimbili National Hospital
August 2003 – October 2005 (2 years 2 months)
Research Assistant
Freelance
November 2002 – August 2003 (9 months)
Intern Docor
Muhimbili National Hospital
September 2001 – October 2002 (1 year 1 month)
Education history
Open University of Tanzania
PhD
August 2010 – Present
AMREF/UCLA Anderson School
MDI Certificate
April 2010 – April 2010
Blekinge Institute of Technology
MBA
September 2007 – March 2010 (2 years 6 months)
UMSOM-IHV
IPEP Certificate
May 2008 – May 2008
Evin School of Management
Certificate in CSR
October 2005 – October 2005
Muhimbili University College of Health Sciences
MMed/Anaesthesiology
September 2003 – April 2005 (1 year 7 months)
Muhimbili University College of Health Sciences
Certificate in Research Methodology
September 2004 – September 2004
Makerere University
MBChB
October 1995 – July 2001 (5 years 9 months)
Mzumbe High School
ACSEE
July 1992 – June 1994 (1 year 11 months)
St. Pius X Seminary, Makoko
GCSEE
January 1988 – October 1991 (3 years 9 months)
Iligamba Primary School
Leaving Certificate/Primary School
January 1981 – October 1987 (6 years 9 months)
This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it. 600w" alt="chadmj" width="630" height="419" style="display: block; margin-left: auto; margin-right: auto;" />
Baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chadema wakiwa katika mkutano huo leo Machi 12.2016. ambapo usiku huu tayari chama hicho kimeshamtangaza Katibu Mkuu mpya.
This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it. 600w" alt="Baraza Kuu Chadema" width="600" height="450" style="display: block; margin-left: auto; margin-right: auto;" />
M/kiti Freeman Mbowe na Katibu Mkuu mpya wa CHADEMA Dkt. Mashinji Vicent jijini Mwanza leo.
chad
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Vicent Mashinji akitoa neno la shukrani muda  mchache baada ya uteuzi.

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.