Sunday, March 13, 2016

Pichaz--LOWASA na MBOWE waongoza mafuriko ya kumtambulisha katibu mkuu mpya wa CHADEMA jijini mwanza

Picha za awali za tambulisho wa Katibu mkuu wa CHADEMA Ndg Dr Vincent Mashinji uliofanyika leo jijini Mwanza mara baada ya hapo jana kuchaguliwa rasmi kuibba mikoba ya ukatibu mkuu wa CHADEMA iliyoachwa na aliyekuwa katibu mkuu DR SLAA.
Picha kamili za tukio hili zitakujia
 

 








No comments: