Breaking newz---HAMAD RASHID RASMI MWENYEKITI MPYA ADC

Habari ambazo tumezipata kutoka katika mkutano mkuu wa chama cha ALLIANCE FOR DEMOCRATIC CHANGE-ADC ni kuwa mkutano mkuu umelipitisha jina la HAMAD RASHID kuwa mwenyekiti mpya wa chama hicho bila kupingwa baada ya mkutano huo kukubali kumfukuza Rasmi aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho SAID MIRAAJ.

Mbali na SAID MIRAAJ wengine ambao mkutano mkuu umepitisha kuwa wafukuzwe uanachama rasmi leo ni Mkurugenzi wa mipango na uchaguzi  wa chama hicho JUMANNE MAGAFU ,JUMA MALUMBO ambaye alikuwa Katibu waa ulinzi na usalama wa chama hicho.,

Kinachosubiriwa na chama hicho sasa ni kuona Mwenyekiti huyo mpya atakuja na Team gani ya uongozi.

Endelea kukaa hapa utapata yote

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.