Thursday, May 12, 2016

MAJALIWA AMWAKILISHA RAIS JOHN MAGUFULI KWENYE MKUTANO WA KUPAMBANA NA RUSHWA LONDON

J3Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozwa kuingia kwenye ukumbi wa Lancaster House, London nchini Uingereza kuhudhuria mkutano  wa Wakuu wa Nchi kuhusu mapambano dhidi ya rushwa, May 12, 2016.  Majaliwa alimwakilisha Rais John Magufuli kwenye mkutano huo.
J1Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akishiriki katika​ mazungumzo rasmi ya Wakuu wa Nchi katika Mkutano unaojadili mapambano dhidi ya rushwa kwenye ukumbi wa Lancaster House, London, nchini Uingereza May 12, 2016. Wa tatu kushoto ni Waziri Mkuu wa Uingereza, David Cameron. Majaliwa alimwakilisha Rais John Magufuli katika mkutano huo.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mku

No comments: