MATUKIO MBALIMBALI KATIKA PICHA KUTOKA BUNGENI LEO

F4

Mbunge wa Jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa(kulia) akibadilishana mawazo na Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nasari(katikati)  na Mbeya Mjini Mhe. Joseph  Mbilinyi(kulia) mara baada ya mapumziko ya mchana ya wabunge mjini Dodoma.

an2Naibu Waziri, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe.Angelina Mabula akiwasili viwanja vya Bunge mjini Dodoma kwa ajili ya vikao vya asubuhi katika Bunge hilo leo 19 Mei, 2016.
an3Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Andrew Chenge (kushoto) akiwa ameongozana na Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA, Mhe. Cecilia Paresso wakielekea ndani ya Bunge kwa ajili ya Vikao vya asubuhi vya bunge hilo 19 Mei, 2016 mjini Dodoma.
an4Naibu Waziri, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Susan Kolimba (mwene gauni la kitenge) akiwa na baadhi ya Wabunge wakielekea ndani ya bunge kwa ajili ya vikao vya asubuhi vya bunge hilo 19 Mei, 2016 mjini Dodoma.
an5Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi akielekea ndani ya bunge kwa ajili ya vikao vya asubuhi vya bunge hilo 19 Mei, 2016 mjini Dodoma.
an6Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. William Lukuvi akielekea ndani ya bunge kwa ajili ya vikao vya asubuhi vya bunge hilo 19 Mei, 2016 mjini Dodoma.
PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA. MAELEZO, DODOMA.

F2Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Job Ndugai (kushoto)  wakibadilishana mawazo na  Mbunge wa Jimbo la Busega Dkt. Raphael Chegeni(kulia)  mara baada ya mapumziko ya mchana jana mjini Dodoma
F5Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhomgo(katikati) akibadilishana mawazo jana mjini Dodoma na baadhi ya wananchi na wabunge waliofika Bunge waliofika leo mjini Dodoma kusikiliza hotuba ya makadirio ya matumizi ya fedha ya Wizara yake kwa mwaka ujao wa fedha.
Picha na Tiganya Vincent, Dodoma.

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.