MATUKIO YA PICHA KUTOKA BUNGENI DODOMA

indexKatibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi(kushoto) akibadilishana mawazo leo mjini Dodma na Naibu Katibu wa Bunge (uendeshaji) Bw.John Joel (kulia) .(Picha na Tiganya Vincent,Dodoma)
SU1Mbunge wa Bariadi Magharibi Mhe. Andrew Chenge(kushoto) akibadilishana mawazo leo mjini Dodoma na Mbunge wa Mbeya Mjini Mhe.Joseph Mbilinyi(kulia) wakati wa mapumziko ya mchana.
SU2Baadhi ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambao pia wamewahi kuwa walimu wakiwa katika picha ya pamoja leo mjini Dodoma wakati wa mapumziko ya mchana.
SU4Baadhi ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambao pia wamewahi kuwa walimu wakiwa katika picha ya pamoja leo mjini Dodoma wakati wa mapumziko ya mchana.
SU5Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mhe.James Mbatia (kushoto) akibadilishana mawazo leo mjini Dodma na Mbunge wa Chalinze Mhe.Ridhiwan Kikwete (kulia) wakati wa mapumziko ya mchana.
SU7Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni , Sanaa na Michezo  Mhe. Anastazia Wambura (kushoto) akibadilishana mawazo leo mjini Dodoma na  Mbunge wa Jimbo la Kiembe Samaki Ibrahim Raza(kulia)
Picha na Tiganya Vincent-Dodoma.

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.