Tuesday, May 10, 2016

Mnaouliza LOWASA yupo wapi Ameamua kuwajibu kwa picha Hizi mbili Leo

Nikiwa katika moja kati ya majukumu yangu kama kiongozi Mkuu wa wamasai afrika mashariki (Laigwanani) nikimsimika ulaigwanani Alhadji Mapukori Mberekeli Nanja Monduli.

No comments: