PICHA--WANANCHI MTWARA WAUNAGANA NA MKUU WA MKOA HUO KUFANYA USAFI

Mkuu wa wilaya ya Mtwara, Fatuma Ally na Mwenyekiti wa CCM mkoa Mohamed Sinani wakifanya usafi.
Mkuu wa mkoa wa Mtwara,Halima Dendego(mwenye kitambaa chekundu kichwani) akiongoza wananchi kufanya usafi eneo la Bima  kampeni iliyoanzishwa na kituo cha radio cha Pride. Kushoto ni mkuu wa wilaya, Fatuma Ally. 

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.