RC SHIGELLA AWATAKA WENYEVITI WA MITAA KUSIMAMIA KWA UMAKINI SHUGHULI ZA MAENDELEO KWENYE MAENEO YAO


 Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Mh Martini Shigella akizungumza na wenyeviti wa mitaa kuhusu kujadili masuala mbalimbali ya kimaendeleo katika Jiji la Tanga,kushoto ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Zena Ahmed na kulia ni Mkuu wa wilaya ya Tanga,Alhaj Abdulla

Lutavi.

Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Zena Ahmed akizungumza katika kikao hicho kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martini Shigella na kushoto ni Katibu wa CCM wilaya ya Tanga,Lucia Mwiru na anayefuata ni Mkurugenzi wa Jiji la Tanga,Daudi Mayeji

Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga,Mustapa Selebosi akizungumza katika kikao hicho kilichofanyika ukumbi wa BMK Sahare Jijini Tanga
Baadhi ya wenyeviti wa Mitaa mbalimbali Jijini Tanga wakiwa ukumbini tayari kumsikiliza RC Shigella

Kulia ni Msaidizi wa Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Amiri Mkapanga akifuatilia kwa umakini maelekezo wa RC Shigella kwa wenyeviti wa serikali za mitaa kwenye Jiji la Tanga.Picha kwa hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha.

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.