YANGA KAMA ULAYAA--WAFANYA KWELI TAIFA JIONI HII


Yanga wanajiweka mazingira mazuri kutinga hatua ya makundi ya kombe la shirikisho barani Afrika ni baada ya kuibuka na ushindi wa magoli 2 - 0 dhidi ya Esperanca Segrada ya Angola! Magoli ya Yanga yamefungwa na Saimon Msuva huku Saimon Anthony akipiga la pili dakika ya 91.

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.