Saturday, June 18, 2016

POLISI WATAWANYA MAHAFALI YA VYUO VIKUU VYA DODOMA


Jeshi la Polisi mkoani Dodoma leo limewatawanya wanafunzi ambao ni wafuasi wa Chama cha Chadema wanaosoma vyuo vikuu mkoani humo walikuwa wakishiriki hafla ya mahafali katika Hotel ya African Dream.
Katika hafla hiyo mgeni rasmi alitarajiwa kuwa Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ambapo baadhi ya wanafunzi walikamatwa baada ya kuambiwa watawanyike na kurudi majumbani kwao.

 IMG-20160618-WA0048.jpg 
IMG-20160618-WA0054.jpg

No comments: