.

VIDEO:Mkutano Wa CHADEMA Ulivyotawanywa na Polisi Leo

Mkutano wa hadhara wa viongozi wakuu wa Chadema uliokuwa umepangwa kufanyika hivi leo Kahama umepigwa marufuku na Jeshi la Polisi kutokana na mvutano mkubwa uliopo kati ya Chadema na CCM.
Chama cha Demokrasia na maemdeleo kilikuwa kifanye mkutano wake leo hii mjini Kahama mtaa wa CDT mpaka muda huu gari la washawasha la jeshi la polisi na lile la matangazo liko mtaani.tutajuzana kinachoendelea

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.