DOOZaidi ya 70 wa CCM wamefanya kazi ya kuzunguka maeneo mbalimbali ya mji huo wakipamba kwa kuweka bendera mitaa na baadhi ya vyombo vya usafiri ikiwemo magari, bajaji, pikipiki hadi kwa wafanyabiasha ambao ni wapenzi wa chama hicho.DOOOO
DOOO
PICHA NA EDWIN MJWAHUZI