11Julai Mosi mwaka huu Rais Magufuli akiwa katika viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam alimsikia kijana mmoja Aliyejulikana kwa jina la OMARY ABDALA RAMADHANI akimsifia kwa mbali na ndipo akaamua kumuita kuja kupiga nae picha. Tazama video hapa chini