Monday, July 4, 2016

RAIS DKT.MAGUFULI AMETUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA FAMILIA 29 WALIOPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI YA BARABARANI.

Baadhi ya wananchi wakisaidia kuokoa watu waliopata ajali katika ajali  iliyohusisha mabasi mawili ya abiria, ambayo imetokea katika eneo la Manyoni Mkoani Singida na kupelekea vifo vya abiria papo hapo na wengine kadhaa kujeruhiwa katika eneo la Kijiji cha Maweni kilichopo Tarafa ya Kintinku wilayani Manyoni Mkoani Singida leo.




No comments: