Monday, August 29, 2016

LOWASA NA MBOWE NAO WATIWA MIKONONI MWA POLISI MCHANA WA LEO


WhatsApp Image 2016-08-29 at 5.14.45 PM

Kikao cha pamoja cha Kamati Kuu na wabunge wa CHADEMA kilichokuwa kikifanyika Giraffe Hotel Mbezi Beach, Dar es Salaam kimevamiwa na kuvunjwa na Jeshi la Polisi.
Viongozi wote, akiwemo Edward Lowassa na Mwenyekiti Freeman Mbowe, Katibu Mkuu Vicent Mashinji, wabunge na wajumbe wa Kamati Kuu wamepelekwa Kituo cha Polisi cha Kati.
WhatsApp Image 2016-08-29 at 5.14.45 PMWhatsApp Image 2016-08-29 at 5.14.44 PM

WhatsApp Image 2016-08-29 at 5.14.44 PMKumekuwa na Taarifa a kukamatwa kwa viongozi wakuu wa CHADEMA akiwemo Ngombea Urais EDWARD LOWASA Baada ya kufanya mkutano wa ndani bila kibali leo Jijini Dar es salaam.
Akizungumzia kukamatwa kwa viongozi hao Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu alisema waliokamatwa na polisi kwa ajili ya mahojiano ni Edward Lowassa, Freeman Mbowe, John Mnyika, Dk Vincent Mashinji na Said Issah.
WhatsApp Image 2016-08-29 at 5.14.43 PMWamekamatwa kutokana na kuendesha vikao vya ndani vilivyo pigwa marufuku na polisi
Kikao hicho kilikuwa kinafanyika katika Hoteli ya Giraffe iliyopo Mbezi Jijini Dar.

No comments: