Tuesday, August 9, 2016

Magufuli Afanya Uteuzi Mpya Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo


Hassan Abbas ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo.
Uteuzi huu ni baada ya Assah Mwambene kupelekwa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki

No comments: