TIGO YAFUNGUA DUKA LA KISASA WILAYANI MASASI

 Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Pwani, Goodluck Charles akiongea na wananchi wa Masasi mara baada ya ufunguzi wa duka la tigo Masasi katika hafla ya ufunguzi iliyofanyika katika wilaya ya Masasi mapema iliyopita.

Baadhi ya wafanyakazi wa duka la Tigo Masasi wakifuatilia kwa makini hafla za ufunguzi wa duka la Tigo wilaya ya Masasi mapema wiki iliyopita.

Afisa tawala wa wilaya ya Masasi Lincoln Ben Tamba akihutubia wananchi wa Masasi mara baada ya hafla ya ufunguzi wa duka la tigo wilayani hapo ,mapema wiki iliyopita.


Afisa tawala wa wilaya ya Masasi Lincoln Ben Tamba akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa duka  la tigo wilaya ya Masasi mkoani Mtwara kwa lengo la kusogeza huduma karibu na wananchi kulia kwake ni meneja wa kanda ya kusini wa tigo Nderingo Materu  na na wa kwanza kushoto ni  Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Pwani, Goodluck Charles na anayefuatia ni  Meneja huduma kwa wateja kanda ya Pwani, Isaack Shoo  katika sherehe za ufunguzi zilizofanyika mapema wiki iliyopita wilayani Masasi.

About HABARI24 TV

Post a Comment
Powered by Blogger.